KUHUSU CHAKIKCA
CHAKIKCA ni Chama cha Kiswahili cha KCA ambacho ki mstari wa mbele kukuza lugha ndani na nje ya chuo.Kilibuniwa mwaka wa 2019 na kufikia sasa chama hiki kimepiga hatua kwenye makuzi ya lugha.

- Kuhudhuria vikao vya CHAWAKAMA
- Kuwahamasisha wanafunzi wa sekondari kuhusiana na lugha.
- Kuhudhuria vitengo vya lugha kwenye vyombo vya habari