Kuhusu Chama cha Kiswahili cha kibabii (CHAKIKI)
chama cha Kiswahili cha kibabii CHAKIKI kilianzishwa mwaka wa 2015 na aliyekuwa mwandishi ayati Ken Walibora. Chama hiking kiliazinshwa chini cha uongozi wq mlezi ambaye ni Dkt. Oloo kisha akqmpokeza Dkt. Walela ambaye pia alimpokeza Dkt. Simiyu ambaye alirejesha kwake Dkt. Oloo. Kwa sasa mwenyekiti ni BW. Moses Omoit ambaye alimpokeza na bi. Priscilla Nekesa.